LONAGRO TANZANIA NA WOOD-MIZER WATHIBITISHA MKAKATI WA KUFANYA BIASHARA PAMOJA

Wood-Mizer LonAgro Partnership 3
Soma Kifungu hiki kwa Kiingereza

Uwongozi wa LonAgro Tanzania, Chini ya Kampuni mama ya LOHRHO Group, Pamoja na Wood-Mizer Africa wafanikisha Mkakati wa Pamoja wa kuendeleza sekta ya viwanda katika Nyanja uchanaji mbao.

Makubaliano baina ya Kampuni hizi mbili yalikamilika na kupendekeza Lon Agro. kuwa muwakilishi wa Wood-Mizer Africa katika nchi za Africa ambapo Lonagro inafanya shuguli zake.

Makubaliano haya mapya ya uwakala wa kuuza bidhaa za Woodmizer utaanza Tanzania na Rwanda na baadae utajumisha inch nyingine ndani ya bara la Africa hapo baadae mwaka 2020.

LonAgro ni wakala rasmi wa kuuza na kusambaza bidhaa bora zinazo zalishwa na makampuni makubwa Duniani Kama vile John Deer, Fieldking, Rovic Africa, Bell Equipment, John Deer Pamoja na STIHL. wanafanya kazi takribani nchi nane kwenye ukanda wa sahara mwa bara la Africa, LonAgro inaendelea na itaendelea Kufanya uwekezaji katika sekta ya Kilimo, Ukandarasi, Misitu na kutoa huduma bora kwa wateja wake.

Wood-Mizer ilianzishwa mnamo mwaka 1982 kwa mapinduzi makubwa baada ya utabmbulisho wa Bidhaa yake ya machine iitwayo Band saw portable saw mill ulimwenguni na kuweza kupati jina kubwa ulimwenguni kwenye sector ya Uvunaji mbao.

Kuanzia hapo Woo-Mizer iliendelea kukuwa na kuzalisha mashine mbalimbali zikiwemo mashine kwa ajili ya wiwanda Pamoja na vifaa kwa ajili ya kunolea misumeno, Pallet, Mfumo wa kisasa wa kukausha mbao kutoka porini mpaka kwenye bidhaa ya mwisho kwa ajili ya mtumiaji wa mwisho.

Mshikamano wa kazi wa Pamoja

Makubaliano kati ya LonAgro na Wood-Mizer yataleta mabadiliko chanya katika kukuza sekta ya uchakataji wa bidhaa za mbao katika bara la Africa.

Tukimzungumzia Alan Crossan, yeye ni Afisa Mkuu wa Mauzo katika Kampuni ya LonAgro Alisema LonAgro, na Wood-Mizer Kwa muda mrefu wamekuwa wakijitanua kibiashara katika bara la Africa. Hivyo wanatambua changamoto na fursa ambazo zipo Africa.Kwa hivyo muungano huu utatuweshesha kulifikia soko na kusaidia taasisi ya Misitu kuzalisha bidhaa bora zinazo tokana na magogo kuwa Biashara ya faida.

Hivyo Wateja wote wa Wood-Mizer sasa wanaweza kuwasliana nasi kwa kupiga simu katika Kampuni ya LonAgro katika matawi yetu yote Tanzania Pamoja na Rwanda kwa mahitaji yote ya bidhaa za Wood-Mizer Pamoja na spare parts. Tupo tayari kukuhudumia kwa mahitaji yako.

Maeneo megine kwa ajili ya Huduma za Wood-Mizer yatatajwa hapo baadae.

Ndugu Gavin Prowse Ambaye ni Afisa wa mauzo katika Kampuni ya Wood-Mizer Africa amesema Wood-Mizer imedhamiria kujenga mahusiano makubwa ya kibiashara barani Africa na kukuza bidhaa ya Wood-Mizer.

Baada ya Mauzo huduma kwa mteja kwetu ni kitu Muhimu cha muendelezo katika Biashara hii. Makubaliano yetu, Heshima, na uwaminifu utakuwa ni wa kudumu. Taasisi ya LonAgro kwa umakini na uwezo itaendelea ku saidia wateja wake sehemu yeyote walipo muda wote kuhakikisha machine inazo uza zinafanya kazi kwa udhubuti na kuhakikisha inajenga uhimara wa Biashara na kumfanya mteja (mnunuzi) kupati faida.

Pia tuta andaa ratiba na siku maalum katika Maeneo tofauti tofauti ndani ya nchi kuutambulisha uhusiano wetu na Lonagro na bidhaa ambazo tunazo kwa wateja wapya na ambao tayari wapo. Zitakuwepo machine kwa ajili ya maoyesho ya namna zinavyofanya kazi na jopo la wataalam wetu kutoka Kampuni zote mbili watakuwepo kwa ajili ya maelekezo matumizi na kujibu maswali kutoka kwa wateja.

Endelea kufuatilia LonAgro na Wood-Mizer Africa kupitia internet na mitandao ya kijamii ili kuweza kupati habari lini na ni siku gani kutakuwa na tafrija rasmi ya urasimizaji wa LonAgro kuwa wakala mkuu wa wood-Mizer.Haya yamesemwa na “Gavin Prowse.

Kwa mahitaji yeyote ya bidhaa za Wood-Mizer waweza kuwasliana na LonAgro Tanzania kupitia number zifuatazo:

Simu: +255 677 7772 00

Simu ya Mezani: +255 222 772 775

Barua pepe: info@lonagro.com

Masaa ya kazi ni:

Jumatatu – Ijumaa: 08H00 – 17H30

Jumamosi: 08H00 – 13H00M

Tukiwa kama Wood-Mizer kuwa na tawi rasmi Tanzania na Rwanda Kupitia LonAgro kutokana na uzoefu walionao na huduma bora wanayo toa itawezesha kutanuka kwa wigo mkubwa na muendelezo wa Biashara ya Wood-Mizer ndani na nje ya nchi hizo mbili.

Uchakataji wa bidhaa za magogo Ndani ya Tanzania na Rwanda unategemea Wood-Mizer kujenga uchumi ulio dhabiti kwa wafanya Biashara wa mbao.

Wood-Mizer LonAgro Partnership 2

Wood-Mizer LonAgro Partnership 1